Utawala na Rasilimali Watu
Seksheni hii ina lengo la kuziwezesha Seksheni nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala kwenye Halmashauri. Seksheni hii inaongozwa na Afisa Mkuu wa Idara na Utumishi ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.
Idara hii ina shughulika na mambo yafuatayo:-
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz