Kupata salary slip nenda kwenye link ya Tovuti muhimu halafu bonyeza Watumishi Portal ili uweze kujisajili, kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na ofisi ya TEHAMA au AFISA UTUMISHI ili wakusaidie bila gharama yeyote.
Zingatia yafuatayo:
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz