Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe ilianzishwa mwaka 2012 chini ya Tangazo la Serikali Namba 73 la tarehe 2 Machi 2012. Halmashauri ya Wilaya Buhigwe ni miongoni mwa Halmashauri/Wilaya nane (8) za Mkoa wa Kigoma. Zifuatazo ni Halmashauri/ Wilaya za Mkoa Wa Kigoma:-
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz