Tuesday 2nd, March 2021
@
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Bw. Anosta L. Nyamoga anapenda kuwakaribisha wananchi wote wa Wilaya ya Buhigwe kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji amabyo yatafanyika katika viunga vya Zahanati ya Kijiji cha Kibwigwa tarehe 6-8-2019 saa 6:00 adhuhuri. Mgeni rasmi ni Mhe. Col. Michael M. Ngayalina, Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe.
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz