Dhima Na Dira
Dhima: Dhima ya Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe ni kutoa huduma bora kwa jamii kwa kutumia vema rasilimali zake na uongozi bora ili kuboresha khali ya maisha yao.
Dira: Dira ya Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe ni kuhakikisha kwamba watu wake wana maendeleo endelevu na miundombinu iliyoboreshwa, mawasiliano na huduma za kiuchumi kufikia 2015.
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz